Saturday, October 30, 2010

DOGO JANJA KICHWA KINACHOKUJA JUU KWA KASI

Jana Jumamosi kwenye Kipindi cha Bongoflava toka Cloudsfm wametambulisha Ngoma kali toka kwa Dogo Janja toka A.town.
Sema ukweli Dogo nimemkubali na ninaamini ataleta mabadiliko makubwa sana juu ya HIP HOP. Dogo ndo kwanza anamiaka 15 tu lakini kaonyesha maujanja ya kutosha. Kwasasa yupo chini ya Babu Tale pale Tip Top.
Big up Dogo Kaza Buti. Changamoto kwa Young Dee.