Tuesday, October 13, 2015

DIAMOND NA TUZO ZA AFRIMMA

Tayari ‘Icon’ wa Tanzania Diamond Platnumz ‘Dangote wa Bongo’ ameweza kuibuka na ushindi wa tuzo tatu katika usiku wa utoaji wa tuzo Africa Muzik Magazine Award ‘AFRIMMA 2015’. Marekani katika mji wa Texas.

(Pichani ni baada ya ushindi huo, Diamond aliweza kuweka picha yake hiyo kupitia mitandao yake yote ya kijamii na kuandika: I realy don’t know What to say  …dha! hata sijui nizungumze nini… 

(Eeh Mungu baba tunakushukuru sana kwa kuzidi kuunyanyua na kuupa Thamani mziki wetu wa Afrika Mashariki…tafadhali endelea kutushika mkono, usituache)

#BestDanceVideo #EastAfricanArtistOfTheYear #AfricanArtistOfYear #afrimma2015″ Hivyo ndivyo alivyofunguka Diamond katika kurasa zake za mitandao ya kijamii huku akipata hongera nyingi kutoka kwa mashabiki wake mbalimbali.Diamond akiwa na Basketmouth wakati wa tuzo hizo jana usiku

Modewjiblog inakuletea zaidi habari za tuzo hizo hapa chini:

AFRIMMA 2015: First Photos Of Diamond, Yemi Alade, Kcee, Basketmouth, & More | (+ FULL LIST OF WINNERS)

The 2015 African Muzik Magazine Awards (AFRIMMA) held last night in Dallas, Texas.

For the event, red carpet was hosted by Emma Nyra and the show was hosted byBasketmouth and Kansiime.

See the list of winners below.

Best Male (South Africa) – AKA
Best Male (East Africa) – Diamond Platnumz
Best Male (Central Africa) – Yuri Da Cunha
Best Male (West Africa) – Davido
Best Female (East Africa) – Vanessa Mdee
Best Female (West Africa) – Yemi Alade
AFRIMMA Inspirational Song – Bracket feat. Tiwa Savage and Diamond Platnumz for ‘Alive’
Best DJ (US) – DJ Simplesimon
Best Newcomer – Ommy Dimpoz
Best Collaboration – AKA feat. Da Les and Burna Boy for ‘All Eyes on Me’
Best Dance Video – Diamond Platnumz for ‘Nana’
Best Video – Wizkid for ‘Ojuelegba’
Artist of the Year – Diamond Platnumz
Legendary Award – Yossou N’Dou


Saturday, October 30, 2010

DOGO JANJA KICHWA KINACHOKUJA JUU KWA KASI

Jana Jumamosi kwenye Kipindi cha Bongoflava toka Cloudsfm wametambulisha Ngoma kali toka kwa Dogo Janja toka A.town.
Sema ukweli Dogo nimemkubali na ninaamini ataleta mabadiliko makubwa sana juu ya HIP HOP. Dogo ndo kwanza anamiaka 15 tu lakini kaonyesha maujanja ya kutosha. Kwasasa yupo chini ya Babu Tale pale Tip Top.
Big up Dogo Kaza Buti. Changamoto kwa Young Dee.